Mhe. Caroline Kitana Chipeta, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania  katika Falme ya Uholanzi amewasilisha Hati za Utambulisho kwa Mtukufu Mfalme Willem-Alexander wa Uholanzi.

Hafla hiyo imefanyika tarehe 19 Oktoba, 2022  katika moja ya Kasri za Kifalme iliyoko Noordeinde, The Hague.